• Required No. of Employees: 1
  • Salary: 0.00
  • Duration of Employment:
  • Preferred Sex: Male/Female
  • Sector of Vacancy:

Qualification/Work Experience:

  • a) Awe na elimu ya kuanzia diploma or degree , NTA Level 5 (Cheti) au NTA Level 6 (Stashahada ya kawaida) katika Bomba au fani inayohusiana. b) Cheti cha kufundisha kutoka VETA na uzoefu wa vitendo. c) Ujuzi wa kanuni za bomba na usalama.

Job Description:

  • a) Kufundisha wanafunzi nadharia na vitendo vya usanikishaji wa mabomba, matengenezo na ufundi wa mabomba. b) Kuandaa vifaa vya kozi na kufanya tathmini zinazofuatana na viwango vya mafunzo vya VETA. c) Kutoa mwongozo wa kiutendaji na maoni ya kujenga. d) Kudumisha usalama wa maabara na matumizi sahihi ya vifaa.

Employer: Right Winners Training Centre

Location: Office Address: P.O.BOX 13808 ARUSHA